Ziwa hili halina mto unaoingiza wala kutoa maji, ni sawa na maji kwenye bakuli. Ujazo wa maji huwa haubadiliki yani huwa hivyohivyo wakati wa masika au kiangazi na ujazo wa maji huwa haubadiliki.