Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeanza kuleta athari, huku wananchi wanaoishi maeneo hatarishi ...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi kumekuwa ...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amewataka watiania ubunge na udiwani kwa tiketi ya Chadema, ...
Mahakama ya Hakimu Kisutu, imemhukumu mfanyabiashara Edson Beyanga (37), kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema Dereva wa Pikipiki (Bodaboda), Mhochi Herman (29), inadaiwa ameuawa kwa kushambuliwa ...
Kama una shida ya moyo na umepandikizwa betri ya moyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeshauri matumizi ya simu ...
Mashirika yaliyotajwa kupata hasa ni Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Shirika la Reli Tanzania (TRC), Shirika la Posta ...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameonya na kukemea chokochoko za atakayeingilia mchakato wa kumpata mkandarasi wa ...
Simba imekuwa na historia ya kutamba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika miaka ya hivi karibuni pindi inapokuwa inashiriki ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewavaa wabunge wa viti maalumu akiwataka waache ...
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya ...
Benki ya NCBA Tanzania imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuimarisha ujumuishaji wa kifedha na mahusiano ya kijamii kupitia ...