KOCHA, Ange Postecoglou nyakati ngumu zimeendelea kumwandama huko Tottenham Hotspur na hilo linaweza kumgharimu kibarua chake ...
MSHAMBULIAJI wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 27, ameambiwa kuwa ...
KIUNGO wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema mechi sita zilizobaki ni kucheza kufa na kupona kwani lolote linaweza kutokea ...
KINDA na fundi wa mpira wa Barcelona, Lamine Yamal pengine ni mchezaji bora kabisa kwenye umri wake kwenye historia ya soka.
Kocha Mkuu wa Tabora United, Genesis Mang’ombe amesema hatakubali kuwa mnyonge na kuruhusu kikosi chake kucheza mchezo wa nne ...
KADRI soda inavyosogea kwenda chini ndani ya chupa yake ndivyo utamu unavyozidi. Lile funda la mwisho linapokaribia soda ...
ARSENAL imejikuta kwenye janga jingine la majeruhi kwenye kikosi na bahati mbaya pengine jambo hilo limetokea kwenye kipindi ...
Kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Uganda jana kumeifanya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 ...
KIPA namba moja wa Manchester City, Ederson amefichua kuna kitu amekuwa akikifanya kama imani kwake, kuvaa nguo ya ndani moja kwa kipindi cha miaka minane.
KOCHA wa Simba SC, Fadlu Davids ameonyesha matumaini katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ...
WAKATI Kocha Mkuu wa Ken Gold, Omari Kapilima akituliza presha kwa mashabiki, timu hiyo haishuki daraja, habari njema ni baadhi ya mastaa waliokuwa nje kwa changamoto mbalimbali huenda ...
Mfadhili wa zamani wa Simba, Azim Dewji amewataka mashabiki wa timu hiyo kuamini kuwa itapata matokeo mazuri katika mechi ya marudiano dhidi ya Al Masry ya Misri, Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja ...