Rais Uhuru Kenyatta ameshikilia kuwa mrithi wake anayependelea bado ni kiongozi wa Azimio Raila Odinga. Haya yanajiri licha ya uamuzi wa Mahakama ya Juu kuunga mkono kuchaguliwa kwa William Ruto mnamo ...
Lula ameapa kuwapigania watu maskini na utunzi wa mazingira na kuijenga upya nchi baada ya utawala wa kiongozi wa siasa kali za mrengo wa kulia Jair Bolsonaro kuigawa nchi hiyo. Kurudi madarakani kwa ...