Maelezo ya picha, Fred Pessa wa kikundi cha Nairobi Philharmonic Orchestra wakiimba nyimbo za Krismasi katika mji mkuu wa Kenya Kila mwaka, duniani kote, waumini wa Kikristo husherehekea kuzaliwa kwa ...
Uso wake umechorwa zaidi ya nyuso zote duniani, na anatambulika kila mahali na wasanii wa Kizungu kama jamaa aliyevaa kanzu, ana kidevu kirefu sawa na nywele. Lakini je, alikuwa anafanana hivi kweli ?