Katika kijiji cha Luhohwe kilichopo jimbo la Bungoma magharibi mwa Kenya anapatikana mwanaume anayejulikana kama 'Yesu' wa Tongareni. Maisha yake yalikuwa ni ya kawaida hadi ilipofika mwaka 2009 ...
NAIROBI – Eliud Wekesa, maarufu kama "Yesu wa Tongaren” raia wa Magharibi ya Kenya, amefikishwa mahakamani Alhamisi mjini Bungoma nchini Kenya, baada ya hapo jana kujiwasilisha kwa maofisa wa polisi ...